Mpango wa Wakala Anayetambulisha
Pata hadi asilimia 45% ya mapato yetu. Pata zawadi kutokana na shughuli za biashara za kila mteja hai unayemwalika kwetu.
Kwanini ufikie hadhi ya Kuleta Wakala Mpya
Wakala anayeaminika wa kimataifa aliyepewa leseni na FSA, CySEC, FSC na FSCA
Wakala anayetambuliwa kimataifa ambaye amekuwa akifanya kazi kwa mafanikio kwa zaidi ya miaka 10 katika nchi zaidi ya 160.
Wakala anayeaminika wa kimataifa aliyepewa leseni na FSA, CySEC, FSC na FSCA
Wakala anayetambuliwa kimataifa ambaye amekuwa akifanya kazi kwa mafanikio kwa zaidi ya miaka 10 katika nchi zaidi ya 160.
Uboreshaji wa haraka wa daraja ulilopo unapoanza
Kipindi cha kipekee cha kukua haraka x3 zaidi ili kufikia madaraja ya juu na kuboresha mapato yako ya mbia.
Uboreshaji wa haraka wa daraja ulilopo unapoanza
Kipindi cha kipekee cha kukua haraka x3 zaidi ili kufikia madaraja ya juu na kuboresha mapato yako ya mbia.
Malipo ya kila siku na kutoa pesa papo hapo
Urahisi wa malipo na kutoa pesa kila siku kupitia mifumo yetu maarufu ya malipo.
Malipo ya kila siku na kutoa pesa papo hapo
Urahisi wa malipo na kutoa pesa kila siku kupitia mifumo yetu maarufu ya malipo.
Nyenzo na zana mbalimbali za kufanyia promosheni
Nyenzo na zana nyingi mbalimbali za kufanyia promosheni ili kusaidia juhudi zako za masoko.
Nyenzo na zana mbalimbali za kufanyia promosheni
Nyenzo na zana nyingi mbalimbali za kufanyia promosheni ili kusaidia juhudi zako za masoko.
Takwimu za kina za wakati halisi
Fikia takwimu za kina za wakati halisi kuhusu miamala ya kila mteja katika Eneo lako la Mbia.
Takwimu za kina za wakati halisi
Fikia takwimu za kina za wakati halisi kuhusu miamala ya kila mteja katika Eneo lako la Mbia.
Mfumo wa kiotomatiki wa kurejesha sehemu ya gharama za muamala
Kivutio rahisi cha wateja kupitia mfumo wetu wa kiotomatiki wa kurejesha sehemu ya gharama za muamala unaokuwezesha kuwalipa wateja sehemu ya mapato yako ya mbia.

Kwa nini wateja wanatuchagua sisi?
Zana na huduma unazoweza kuwapa wateja
Maswali yanayoulizwa mara nyingi
1
Ninawezaje kuwa mbia wa JustMarkets?
Kuwa mbia wa JustMarkets ni rahisi, jisajili tu, nenda kwenye eneo la Ubia, nakili na ushiriki kiunganishi cha mbia ili kuvutia mteja wa kwanza utakayemwalika.
2
Ninaweza kupata wapi kiunganishi changu cha mbia na ninaweza kukitumia jinsi gani?
Kiunganishi cha mshirika kinaweza kupatikana kwenye ukurasa wa Dashibodi, katika Zana za Usajili, au ukurasa wa Nyenzo za Promosheni katika eneo la Ubia.
Kiunganishi cha mbia kinafanyaje kazi?
- Shiriki kiunganishi chako cha mwaliko
- Watumiaji wanakuwa wateja
- Wateja wanafanya biashara
- Unapata zawadi
3
Je, ni vikundi gani vya zana ambazo mnalipa kamisheni kwa mbia?
Tunalipa kamisheni 45% kutoka kwa spread kwa vikundi vyote vya zana, kama vile fedha za kigeni, chuma, fahirisi, hisa, na bidhaa. Mapato ya kina ya mbia yanaweza kupatikana katika eneo la Ubia.
4
Ni mara ngapi kamisheni huwekwa kwenye akaunti yangu ya mbia na ninawezaje kuitoa?
Tunalipa kamisheni kwa akaunti za wabia kila siku. Inaweza kutolewa wakati wowote unapotaka.
5
Ninaweza kuona wapi wateja ambao nimewaalika na takwimu zao?
Unaweza kupata ripoti za kina kuhusu takwimu zote za mteja wako katika eneo lako la ubia. Fuatilia utendaji wako na usimamie historia yako ya malipo.
6
Je, mna nyenzo zozote za promosheni ambazo zinaweza kunisaidia kuvutia wateja?
Tunatoa zana zote unazohitaji ili kukuza na kupanua mtandao wako:
- Mabango ya matangazo yenye matokeo
- Kurasa maalum za tovuti
- Video, GIF na nembo
Kila kitu kinaweza kupatikana katika sehemu ya Nyenzo za Promosheni katika eneo la Ubia.
7
Je, kuna njia nyingine yoyote ya kupokea faida ya ziada zaidi ya kamisheni unayopokea unapokuwa mbia na JustMarkets?
Bila shaka! Unaweza kupata zawadi zenye thamani kama vile likizo za kimataifa, magari ya hadhi ya juu, na dola 200,000 za Marekani kwa kushiriki katika Mpango wa Ushikamanifu wa Mbia.
Ikiwa hujapata jibu la swali lako jisikie huru kutembelea Kituo chetu cha Msaada au wasiliana na wasaidizi wetu.